21 Februari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jan - Februari - Mac | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | ||||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Tarehe 21 Februari husherehekewa rasmi kama Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama tangu mwaka wa 2000 na nchi zote zilizojiunga na UNESCO.
Pia, tarehe 21 Februari ni sikukuu ya Mtakatifu Petro Damian.
Matukio [hariri]
- 1281 - Uchaguzi wa Papa Martin IV
- 1952 - Nchini Bangladesh, wanafunzi wa chuo kikuu wa Dhaka walifanya maandamano kwa ajili ya lugha ya Bangla, na wengine wao wameuawa na polisi kwa kupigwa risasi.
- 2008 - Sherehe ya Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama pia hufungulia rasmi Mwaka wa Lugha wa Kimataifa.
Waliozaliwa [hariri]
- 1895 - Henrik Dam (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1943)
Waliofariki [hariri]
- 1072 - Petro Damian, askofu na mwalimu wa Kanisa kutoka Italia
- 1513 - Papa Julius II
- 1677 - Baruch Spinoza, mwanafalsafa wa Uholanzi
- 1730 - Papa Benedikt XIII
- 1846 - Ninko, Mfalme Mkuu wa 120 wa Japani (1817-1846)
- 1926 - Heike Kamerlingh Onnes (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1913)
- 1941 - Frederick Banting (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1923)
- 1968 - Howard Walter Florey (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1945)
- 1984 - Mikhail Sholokhov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1965)
- 1999 - Gertrude Elion (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988)