Papa Martin IV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Martin IV

Papa Martin IV (takriban 121028 Machi, 1285) alikuwa papa kuanzia 21 Februari, 1281 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Simon de Brie (au Brion). Alimfuata Papa Nikolasi III.

[hariri] Viungo vya nje

Kuhusu Papa Martin IV katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Martin IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.