Heike Kamerlingh Onnes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Heike Kamerlingh Onnes
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Heike Kamerlingh Onnes (21 Septemba 185321 Februari 1926) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uholanzi. Alichunguza elementi katika hali ya baridi sana. Pia alifaulu kuoesha elementi ya heliamu. Mwaka wa 1913 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Heike Kamerlingh Onnes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.