Frederick Banting

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Frederick Banting
Sir Frederick Banting (1891-1941)]]
Amezaliwa14 Novemba 1891
Amefariki21 Februari 1941
Kazi yakedaktari kutoka nchi ya Kanada


Frederick Grant Banting (14 Novemba 189121 Februari 1941) alikuwa daktari kutoka nchi ya Kanada. Hasa alichunguza ugonjwa wa usukari, na pamoja na Charles Best aligundua dawa ya insulini. Mwaka wa 1923, pamoja na John Macleod alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Mwaka wa 1934 alipewa cheo cha “Sir” cha Uingereza.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frederick Banting kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.