2 Februari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jan - Februari - Mac | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | ||||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
- 1831 - Uchaguzi wa Papa Gregori XVI
- 1990 - Rais F.W. de Klerk atangaza ya kuwa ANC si marufuku tena nchini Afrika Kusini.
[hariri] Waliozaliwa
- 1649 - Papa Benedikt XIII
- 1882 - James Joyce, mwandishi kutoka Ueire
- 1985 - Dennis Oliech, mchezaji mpira kutoka Kenya
[hariri] Waliofariki
- 1769 - Papa Klementi XIII
- 1970 - Bertrand Russell (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1950)
- 1980 - William Stein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972