12 Februari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jan - Februari - Mac | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | ||||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
- 1049 - Uchaguzi wa Papa Leo IX
- 1818 - Nchi ya Chile inatangaza uhuru wake kutoka Hispania.
[hariri] Waliozaliwa
- 1768 - Kaisari Francis II wa Ujerumani
- 1809 - Abraham Lincoln, Rais wa Marekani (1861-65)
- 1809 - Charles Darwin (mwanasayansi Mwingereza)
- 1918 - Julian Schwinger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965)
- 1950 - George Malima Lubeleje, mwanasiasa wa Tanzania
- 1980 - Innocent Cornel Sahani, mwanamuziki kutoka Tanzania