Ludan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kifo cha Mt. Ludan.

Ludan (Uskoti, karne ya 12 - Scherkirchen, Alsace, leo nchini Ufaransa, 12 Februari 1202) alikuwa Mkristo, mtoto wa mtemi fulani wa Uskoti, ambaye kwa upendo wa Mungu alikwenda hija Roma au Yerusalemu na wakati wa kurudi alifariki dunia kwa baridi amelala chini ya mti[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[2]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Februari[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.