16 Februari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jan - Februari - Mac | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | ||||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1812 - Henry Wilson, Kaimu Rais wa Marekani (1873-1875)
- 1848 - Octave Mirbeau, mwandishi Mfaransa
- 1915 - Elisabeth Eybers, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1974 - Johnny Tri Nguyen, mwigizaji filamu wa Kimarekani kutoka Vietnam Kusini
- 1982 - Angela Damas, mrembo wa Tanzania mwana wa 2002
Waliofariki [hariri]
- 1886 - Albert Küchler, mchoraji kutoka Denmark
- 1907 - Giosue Carducci (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1906)
- 1917 - Octave Mirbeau, mwandishi Mfaransa
- 1932 - Ferdinand Buisson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1927)
- 1970 - Peyton Rous, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1966