Elisabeth Eybers

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Elisabeth Eybers

Elisabeth Eybers (16 Februari 1915 - 1 Desemba 2007) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa aliandika mashairi kwa lugha ya Kiafrikaans. Tangu mwaka wa 1961 alikaa nchini Uholanzi.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elisabeth Eybers kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.