Henry Wilson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Henry Wilson

Henry Wilson (16 Februari 181222 Novemba 1875) alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais Ulysses Grant kuanzia mwaka wa 1873 hadi kifo chake madarakani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Jeremiah Jones Colbath.


Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henry Wilson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.