Albert Küchler
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Albert Küchler (2 Mei 1803 - 16 Februari 1886) alikuwa mchoraji kutoka Denmaki. Yeye alizaliwa katika Copenhagen na alisoma katika Chuo cha Sanaa mjini Copenhagen. Mwaka 1886 alikufa katika Roma
Mifano ya picha zake[hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Albert Küchler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |