1963
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | ►
◄◄ | ◄ | 1959 | 1960 | 1961 | 1962 | 1963 | 1964 | 1965 | 1966 | 1967 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1963 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 12 Desemba - Nchi ya Kenya inapata uhuru kutoka Uingereza.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1963 MCMLXIII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5723 – 5724 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1955 – 1956 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1412 ԹՎ ՌՆԺԲ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1383 – 1384 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1341 – 1342 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2018 – 2019 |
| - Shaka Samvat | 1885 – 1886 |
| - Kali Yuga | 5064 – 5065 |
| Kalenda ya Kichina | 4659 – 4660 壬寅 – 癸卯 |
- 9 Juni - Johnny Depp, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 27 Julai - Donnie Yen, mwigizaji filamu kutoka Uchina
- 9 Agosti - Whitney Houston, mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 25 Septemba - Keely Shaye Smith, mwandishi wa habari kutoka Marekani, na mke wa Pierce Brosnan
- 11 Desemba - Mario Been, kocha wa mpira wa miguu kutoka Uholanzi
- 13 Desemba - Yono Stanley Jilaoneka Kevela, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 4 Machi - William Carlos Williams (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1963)
- 11 Mei - Herbert Spencer Gasser (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1944)
- 1 Agosti – Theodore Roethke (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1954)
- 11 Oktoba - Édith Piaf, mwimbaji wa kike kutoka Ufaransa
- 22 Novemba - John F. Kennedy (Rais wa Marekani) aliuawa.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: