Coolio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Coolio
Coolio at a US Army base in Bosnia (2002)
Coolio at a US Army base in Bosnia (2002)
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Artis Leon Ivey, Jr.
Amezaliwa 1 Agosti 1963 (1963-08-01) (umri 60)
Asili yake Monessen, Pennsylvania, U.S.
Aina ya muziki West Coast Hip-Hop, Gangsta Rap, G-Funk
Kazi yake Emcee/Mwigizaji/Mtangazaji wa Kipindi cha Mapishi katin Intaneti
Miaka ya kazi 1990–mpaka sasa
Studio Tommy Boy/Warner Bros. Records
Ame/Wameshirikiana na WC and the Maad Circle, Kel Mitchell, Kenan Thompson, Tupac, Snoop Dogg
Tovuti Coolio.com

Artis Leon Ivey, Jr. (amezaliwa tar. 1 Agosti 1963), anafahamika sana kwa jina la kisanii kama Coolio, ni rapa, mwanamuziki na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Amekuwa mashuhuri wakati wa 1994 na kibao chake cha kwanza cha "Fantastic Voyage", na kisha baadaye mwaka wa 1995 na kibao chake mashuhuri-chenye mafanikio cha "Gangsta's Paradise", ambacho kilikuwa moja kati ya sehemu ya kibwagizo cha filamu ya Dangerous Minds.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Coolio alizaliwa mjini Monessen, Pennsylvania, akiwa kama mtoto wa Artis Leon Ivey Sr., fundi seremara, na Jackie Slater, mfanya kazi wa kiwandani.[1] Wazazi wake walitalikiana na familia ili hama na kwenda mjini Compton, California. Coolio aliingia matatani akiwa nje ya nymbani kwa jinsi alivyotumia wakati wake na vijana wa kuhuni wa Compton's Mona Park Crips, ijapokuwa hakukubaliwa kabisa kuingia kwenye uhuni.[2]

Coolio alikuwa mgeni mzoefu wa kituo cha redio cha mjini Los Angeles, KDAY.

Kazi za awali za muziki za Coolio zilishiia na uuzaji wa madawa ya kulevya feki. Baada ya kujirekebisa, Coolio alifanya kazi mbalimbali.[3]

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Coolio - Biography. Filmreference.com. Iliwekwa mnamo 2008-07-14.
  2. Steve Huey. Coolio Biography. Allmusic. Iliwekwa mnamo 2009 10 15.
  3. California Conservation Corps Corpsmembers. State of California. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-08-30. Iliwekwa mnamo 2008-07-14.
  4. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-12-22. Iliwekwa mnamo 2010-05-08.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: