Snoop Doggy
| Cordozar Calvin Broadus, Jr |
|
|---|---|
|
|
|
| Jina la Kiraia | Cordozar Calvin Broadus, Jr |
| Jina la kisanii | Snoop Doggy Dogg
The D O Double G Bigg Snoop Dogg Tha Bigg Boss Dogg |
| Nchi | Long Beach, California, Marekani |
| Alizaliwa | 20 Oktoba 1971 |
| Aina ya muziki | Rap na Hip Hop |
| Kazi yake | Mwanamuziki, Muigizaji, Mtayarishaji |
| Miaka ya kazi | mn. 1992 - |
| Ameshirikiana na | Dr. Dre, 213, Ray J, Brandy, Tha Dogg Pound, Tha Eastsidaz, Ice Cube, Xzibit, The Game, 50 Cent, Warren G, Nate Dogg |
| Ala | Sauti, Gita,Kinanda,Kinakilishi |
| Kampuni | Death Row, Interscope, Universal, No Limit, Priority, TVT, EMI, Star Trak, Geffen, Doggystyle |
Cordozar Calvin Broadus, Jr (amezaliwa, 20 Oktoba 1971) ni Rapa wa kimarekani na pia muigazaji wa filamu. Alipata umaarufu kama Snoop Dogg, mwanzoni walikuwa wakimuita Snoop Dogg Doggy.
Akiwa anawakilisha kikosi cha West Coast Hip Hop, pamoja na mshirika wake wa karibu bwana Dr. Dre ambaye ndiye aliyesababisha Snoop kuwa hapo alipofikia. Snoop kuna misemo yake ambayo imezoleka sana midomoni mwa watu vile akisema 'fo' Shizzle, manizzle, akimanisha, kweli ndugu yangu, useme huo ulibuniwa na mwanamuziki mmoja wa huko huko nchini marekani maarufu kama Frank Smith & the Band, mnamo miaka ya 80 hivi.
Yaliyomo |
Maisha ya Mwanzo [hariri]
Snoop alizaliwa mjini Long Beach, California tar. 20 Oktoba 1971. Akiwa bwana mdogo alipata jina la Snoop ambalo alipewa na mama yake mzazi kama jina la utani kwakuwa alikuwa anapenda kutazama kipindi cha televisheni kilichokuwa kinaitwa "Peanuts", kipindi ambacho kiliegemea kwenye masuala ya "Ucheshi", likiwemo na jina fulani la Snoop Dogg.
Snoop ajiunga na shule ya Long Beach Polytechnic High School, na baadae akapelekwa jela kwa kujishughulisha na maswala ya uuzaji na utumiaji wa madawa ya kulevya. Snoop pia alikuwa mmoja wa wanachama wa kikundi kidogo cha kihuni kilichokuwa kinaongozwa na "Bow Keene Mundine" ndani ya Long Beach.
Albamu Alizotoa [hariri]
- Mwaka
- 1993: Doggystyle
- 1996: Tha Doggfather
- 1998: Da Game Is to Be Sold, Not to Be Told
- 1999: No Limit Top Dogg
- 2000: Tha Last Meal
- 2002: Paid tha Cost to Be da Bo$$
- 2004: R&G (Rhythm & Gangsta): The Masterpiece
- 2006: Tha Blue Carpet Treatment
- 2007/08: Ego Trippin'
Filamu Alizotoa [hariri]
- Mwaka
- 1994: Murder Was the Case (Platinum)
- 1998: Half Baked (cameo appearance)
- 1999: Hot Boyz
- 1999: Whiteboyz
- 1999: Urban Menace
- 2000: Up In Smoke Tour
- 2001: Baby Boy (Gold)[1]
- 2001: Training Day
- 2001: Bones
- 2001: The Wash
- 2003: Malibu's Most Wanted
- 2003: Old School
- 2004: Starsky & Hutch
- 2004: Soul Plane
- 2005: Boss'n Up
- 2005: Racing Stripes
- 2006: The Tenants
- 2006: MILF Money (Weeds episode)
- 2007: Arthur and the Minimoys (voice)
- 2007: Coach Snoop
- 2007: Monk
Marejeo [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Snoop Doggy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |