Whitney Houston
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Whitney Houston | |
|---|---|
| Jina la kuzaliwa | Whitney Elizabeth Houston |
| Amezaliwa | 9 Agosti 1963 Newark, New Jersey, U.S. |
| Asili yake | East Orange, New Jersey |
| Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji, mtayarishaji wa rekodi, mtayarishaji wa filamu, mwanamitindo |
| Ala | Sauti, piano |
| Aina ya sauti | Mezzo-soprano[1] |
| Miaka ya kazi | 1977–hadi leo |
| Studio | Arista |
| Tovuti | www.whitneyhouston.com |
Whitney Elizabeth Houston (amezaliwa tar. 9 Agosti, 1963) nimshindi wa Tuzo ya Grammy akiwa kama mwimbaji bora wa pop/R&B, mwigizaji, mtayarishaji wa filamu, mtunzi wa nyimbo na mwanamitindo wa zamani kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kuwa sauti kali yenye nguvu na mvuto. Anafahamika zaidi kwa kupitia nyimbo yake ya "I Will Always Love You" na "I wanna dance with some body" kutoka katika toleo lake la 'The Star Spangled Banner.'.
Whitney ni mmoja kati ya wasanii wa kike waliopata mafanikio makubwa kabisa katika medani ya muziki. Moja kati ya albamu zake ambazo zilipata kuwa maarufu zaidi ni The Bodyguard (Kibwagizo bora kwa mauzo bora kwa miaka yote) na ndiyo albamu yake iliyofanya vizuri kupita zote.
Yaliyomo |
[hariri] Wasifu
[hariri] Maisha ya awali
[hariri] Diskografia
- Studio albamu
- Whitney Houston (1985)
- Whitney (1987)
- I'm Your Baby Tonight (1990)
- My Love Is Your Love (1998)
- Just Whitney (2002)
- I Look to You (2009)
[hariri] Marejeo
- ↑ Dean, Maury (2003). Rock-N-Roll Gold Rush. Algora Publishing, 34. ISBN 0875862071.
[hariri] Viungo vya Nje
- Official website
- Whitney Houston katika Internet Movie Database
- Whitney Houston at Rolling Stone
- UnOfficial Whitney Houston Fan Site
| Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Whitney Houston kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |