William Carlos Williams

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
William Carlos Williams

William Carlos Williams (17 Septemba, 18834 Machi, 1963) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Marekani. Pamoja na kufanya kazi kama daktari, aliandika mashairi, insha za historia na riwaya fupi. Mwaka wa 1963 wakati alipokuwa ameshafariki aliteuliwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer kwa ajili ya mkusanyiko wake “Picha za Brueghel, na Mashairi Mengine” (kwa Kiingereza: Pictures from Brueghel, and Other Poems) iliyotolewa mwaka wa 1962.

Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Carlos Williams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine