Johnny Depp
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Johnny Depp | |
|---|---|
Depp akiwa kwenye sherehe za filamu ya Pirates of the Caribbean: Dead Man's Chest huko mjini London, mnamo mwezi wa Julai 2006 |
|
| Amezaliwa | John Christopher Depp II 9 Juni 1963 Owensboro, Kentucky |
| Kazi yake | mwigizaji, mwandishiskrini, mwongozaji, mtayarishaji, mwanamuziki |
| Miaka ya kazi | 1984 - |
| Ndoa | Lori Anne Allison (1983-1986) |
Johnny Depp (amezaliwa tar. 9 Juni 1963[1] mjini Owensboro, Kentucky) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Anafahamika sana kwa kucheza kama Jack Sparrow katika mfululizo wa filamu ya Pirates of the Caribbean, Raoul Duke katika filamu ya Fear and Loathing in Las Vegas, na Sam kwenye filamu ya Benny & Joon .
Yaliyomo |
Wasifu [hariri]
Maisha ya awali [hariri]
Filamu alizocheza [hariri]
- Nightmare on Elm Street (1984)
- Private Resort (1985)
- Cry-Baby (1990)
- Edward Scissorhands (1990)
- Benny and Joon (1993)
- What's Eating Gilbert Grape? (1993)
- Ed Wood (1994)
- Don Juan De Marco (1994)
- Dead Man (1995)
- Donnie Brasco (1996)
- Fear and Loathing in Las Vegas (1998)
- Sleepy Hollow (1999)
- Chocolat (2000)
- Blow (movie)|Blow (2000)
- From Hell (2001)
- Once Upon a Time in Mexico (2003)
- Pirates of the Caribbean (2003)
- Secret Window (2004)
- Finding Neverland (2004)
- Charlie and the Chocolate Factory (2005)
- The Corpse Bride (Voice, 2005)
- Pirates of the Caribbean 2 : Dead Man's Chest (2006)
- Pirates of the Caribbean 3 : At World's End (2007)
- Sweeney Todd the demon barber of fleet street (2008)
Marejeo [hariri]
- ↑ Johnny Depp Biography. Hollywood Movies, About.com. Rudishwa juu ya 2008-12-24.
Viungo vya Nje [hariri]
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Johnny Depp kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |