Mpira wa miguu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|
Unganisha! Imependekzwa makala hii iunganishwe na Soka. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. |
Mpira wa Miguu, pia uitwao Soka au Kandanda ni aina ya mchezo wa mpira ambapo timu mbili za wachezaji kumi na mmoja hushindana kwa kupigania umiliki wa mpira na kuingiza mpira katika wavu wa wapinzani Wachezaji hucheza kwa miguu; pia wanaruhusiwa kutumia sehemu nyingine za mwili ila mikono hairuhusiwi kutumiwa. Mlinda mlango ndiye anayeruhusiwa kutumia mikono. Wachezaji wengine wanaweza kutumia mikono iwapo mpira ni wa kurushwa baada ya kutoka nje ya uwanja.
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mpira wa miguu kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Tazama Pia[hariri]