Lionel Messi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lionel Andrés Messi (matamshi ya Kihispania: [ljoˈnel anˈdɾes ˈmesi]; amezaliwa 24 Juni, 1987) ni mchezaji wa mpira kutoka nchi ya Argentina. Tangu mwaka wa 2005 amekichezea kilabu cha FC Barcelona.
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lionel Messi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |