Barcelona
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Barcelona ni mji uliopo nchini Hispania. Ni mji mkuu wa wa jimbo la Catalonia, ambayo pia moja kati ya sehemu za Hispania. Barcelona ipo katika pwani ya Bahari ya Mediteranea. Mji upo kati ya Mto Llobregat na Besòs, na kusini upo katika milima ya Pirenei.
Leo hii kuna takriban watu wa milioni 1.6 wanaishi katika mji huo wa Barcelona (sensa ya 2006). Kati ya mil. 3.1 ya watu wanaishi katika Maeneo ya Metropolitan na mil. 5.3 wapo Mijini.
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Barcelona kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |