Mashindano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mashindano (kutoka kitenzi kushinda; kwa Kiingereza: competition) ni neno la Kiswahili lenye maana ya mapambano baina ya sehemu mbili au zaidi katika nyanja mbalimbali, kama vile michezo, elimu, fasihi, upishi n.k.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mashindano kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.