Fasihi
Kutoka Wikipedia
fasihi nilugha iliyo jaa ufundi wa kimaandishi au kiutendajiFasihi ni sanaa inayotumia lugha ili kufikisha ujumbe kwa jamii husika . Fasihi imegawanyika katika makundi makubwa mawili: fasihi andishi na fasihi simulizi.
| Makala hiyo kuhusu "Fasihi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Fasihi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Matini ya koze

