Utanzu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Utanzu ni aina fulani ya kazi ya fasihi.

Tanzu kuu za fasihi andishi ni riwaya, tamthiliya, shairi, insha, novela na hadithi fupi.

[hariri] Marejeo

Wamitila, K.W. 2003. Kamusi ya Fasihi: Istilahi na Nadharia, Nairobi: Focus Books.

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Utanzu" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Utanzu kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.