Mesrop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mesrop Mashtots alivyochorwa na Francesco Maggiotto (1750-1805).

Mesrop Mashtots (pia, Mesrob, Mashtotz, kwa Kiarmenia Մեսրոպ Մաշտոց) alizaliwa Hatsik mwaka 361 akafariki Echmiadzin tarehe 17 Februari 440.

Alikuwa mmonaki, mwanateolojia na mtaalamu wa lugha kutoka Armenia aliyebuni alfabeti ya Kiarmenia (406) na kuanzisha shule nyingi akiweka hivyo misingi ya taifa hilo na ustaarabu wake uliolidumisha hata leo kati ya matatizo makubwa ya historia yake, hasa dhuluma za kidini.

Viungo vya nje[hariri]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mesrop kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.