Sipriani mfiadini
Sipriani (kwa Kilatini Thascius Caecilius Cyprianus) (alifia dini tarehe 14 Septemba 258) alikuwa askofu wa Karthago na mwandishi muhimu kati ya Mababu wa Kanisa, ambaye vitabu vyake vya Kilatini viko hadi leo.
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu, hasa siku ya kifodini chake.
Yaliyomo |
Maisha [hariri]
Alizaliwa mwanzoni mwa karne ya 3 katika eneo la Afrika kaskazini, labda huko Karthago, alipopata elimu.
Baada ya kuongokea Ukristo, alichaguliwa kuwa askofu mwaka 249 na hatimaye akawa mfiadini.
Maandishi yake [hariri]
Yanapatikana katika magombo 3 na 4 ya Patrologia Latina.
Kitabu chake muhimu zaidi ni "De unitate ecclesiae" (Umoja wa Kanisa). Humo aliandika: "Hawezi kuwa na Mungu kama Baba yule asiye na Kanisa kama mama; . . . asiyekusanya katika Kanisa analitawanya Kanisa la Kristo" (vi.); "Hakuna nyumba nyingine kwa waamini isipokuwa Kanisa pekee" (ix.).
Tanbihi [hariri]
Marejeo [hariri]
- Brent, Allen, editor and translator, "St Cyprian of Carthage: Selected Treatises," St. Vladimir's Seminary Press, 2007, ISBN 0-88141-312-7
- Brent, Allen, editor and translator, "St Cyprian of Carthage: Selected Letters," St. Vladimir's Seminary Press, 2007, ISBN 0-88141-313-5
- Daniel, Robin, "This Holy Seed: Faith, Hope and Love in the Early Churches of North Africa," (Chester, Tamarisk Publications, 2010: from www.opaltrust.org) ISBN 095385634
- Christian Classics Ethereal Library: Cyprian texts
- J.M. Tebes, "Cyprian of Carthage: Christianity and Social World in the 3rd. century", Cuadernos de Teología 19, (2000) (Kihispania)
Viungo vya nje [hariri]
- Cyprian and Roman Carthage by Allen Brent(Cambridge, 2010).
- Pontius the Deacon (Pontius Diaconis), "The Life and Passion of Cyprian, Bishop and Martyr"
- "The Plague of AD 251"
- Cyprian on the nature of the Church and Papacy by Dom John Chapman
- Catholic Encyclopedia: St. Cyprian
- Works by Cyprian at the IntraText Digital Library, with concordance and frequency lists
- Acta proconsularia S. Cypriani
- Multilanguage Opera Omnia
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sipriani mfiadini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
