5 Septemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ago - Septemba - Okt
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 5 Septemba ni siku ya 248 ya mwaka (ya 249 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 117.

Matukio[hariri | hariri chanzo]

Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki[hariri | hariri chanzo]

Sikukuu[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Akonsi na wenzake, Kwinto wa Capua, Urbani, Theodori na wenzao, Bertino wa Sithieu, Petro Nguyen Van Tu, Yosefu Hoang Luong Canh, Teresa wa Kolkata n.k.

Kwa heshima ya huyo wa mwisho, Umoja wa Mataifa umetangaza tarehe hiyo kuwa Siku ya Kimataifa ya Upendo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 5 Septemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.