24 Septemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ago - Septemba - Okt | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1973 - Nchi ya Guinea Bisau inatangaza kuwa huru kutoka Ureno.
Waliozaliwa [hariri]
- 1895 - Andre Cournand (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956)
- 1898 - Howard Walter Florey (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1945)
- 1902 - Ruhollah Khomeini, kiongozi wa dini na wa serikali nchini Uajemi (1979-1989)
- 1905 - Severo Ochoa (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1959)
Waliofariki [hariri]
- 366 - Papa Liberius
- 1143 - Papa Innocent II
- 1672 - Tupac Amaru, Inka wa mwisho ananyongwa na Wahispania nchini Peru.
- 1732 - Reigen, Mfalme Mkuu wa Japani
- 1904 - Niels Ryberg Finsen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1903)
- 1991 - Theodor Seuss Geisel (anajulikana hasa kama Dr. Seuss, mwandishi Mmarekani kwa watoto)