23 Septemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Ago - Septemba - Okt
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori


23 Septemba kwa kawaida ama ni sikusare otomnia ya kaskazini au siku ya kwanza baada ya sikusare hiyo. Katika nusutufe ya kaskazini ya dunia mchana huanza kuwa mfupi na muda wa usiku kuwa mrefu zaidi kuliko mchana. Kwenye nusutufe ya kusini mwendo ni kinyume, kuanzia sasa mchana hurefuka na giza ya usiku kupungua. Mabadiliko haya yanaonekana kote duniani kwenye umbali fulani kutoka ikweta.

[hariri] Matukio

[hariri] Waliozaliwa

[hariri] Waliofariki

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine