2 Septemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ago - Septemba - Okt | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1945 - Japani inajisalimisha, mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia
Waliozaliwa [hariri]
- 1251 - Fransisko wa Fabriano, padre Katoliki kutoka Italia
- 1853 - Wilhelm Ostwald (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1909)
- 1877 - Frederick Soddy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1921)
- 1918 - Allen Drury (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1959)
- 1924 - Daniel arap Moi, Rais wa pili wa Kenya
- 1938 - Giuliano Gemma, mwigizaji filamu kutoka Italia
- 1964 - Keanu Reeves, mwigizaji filamu kutoka Kanada
Waliofariki [hariri]
- 1973 - J.R.R. Tolkien, mtaalamu wa Kiingereza na mwandishi wa Bwana wa Mapete
- 1992 - Barbara McClintock (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1983)
- 1998 - Allen Drury (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1959)