Wilhelm Ostwald

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo Nobel.png
Picha:Wilhelm ostwald.jpg
Wilhelm Ostwald

Friedrich Wilhelm Ostwald (Kilatvia: Vilhelms Ostvalds), (Riga, Latvia, 2 Septemba, 18534 Aprili, 1932) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Mwaka wa 1909 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia kwa ajili ya utafiti wake kuhusu uchocheaji.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wilhelm Ostwald kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.