Keanu Reeves
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Keanu Charles Reeves (amezaliwa tar. 2 Septemba, 1964, Beirut, Lebanon) ni mwigizaji wa filamu na tamhiliya kutoka nchini Kanada. Anafamika zaidi kwa kucehza kama Neo kutoka katika mfululizo wa filamu za Matrix. Pia anajulikana tena kwa kucheza kama Ted kutoka katika filamu ya 'Bill & Ted's Excellent Adventure' na 'Bill and Ted's Bogus Journey.
Anafahamika tena kama Scott Favor katika mchezo wa kuigiza uitwao 'My Own Private Idaho' akiwa na River Phoenix, Kevin Lomax katika filamu ya kichawi iitwayo The Devil's Advocate, Buddha katika filamu iitwayo Little Buddha, Na pia nyota katika filamu ya Speed na Constantine.
Yaliyomo |
[hariri] Wasifu
[hariri] Maisha ya awali
[hariri] Filamu
[hariri] Filamu za kawaida
[hariri] Televisheni
- Night Heat - sehemu ya Crossfire (1985) kacheza kama Mugge
- Night Heat - sehemu ya Necessary Force (1985) kacheza kama Thug #1
- Letting Go (1985) kacheza kama Stereo Teen #1
- Brotherhood of Justice (1986) kacheza kama Derek
- Act of Vengeance (1986) kacheza kama Buddy Martin
- Young Again (1986) kacheza kama Michael Riley, Age 17 (credited kacheza kama K.C. Reeves)
- Under the Influence (1986) kacheza kama Eddie Talbot
- Babes in Toyland (1986) kacheza kama Jack-Be-Nimble
- Trying Times - sehemu ya Moving Day (1987) kacheza kama Joey
- Life Under Water (1989) - Kip
- The Tracey Ullman Show - sehemu ya Two Lost Souls (1989) kacheza kama Jesse Walker
- Bill & Ted's Excellent Adventures (1990-93) kacheza kama Ted (voice only) (kacheza kamao ,1990-91)
- |Action 1999 - Pilot (1999) "Keanu Reeves"
- Statler and Waldorf: From the Balcony sehemu ya 3 (2005) kacheza kama Keanu
[hariri] Marejeo
[hariri] Viungo vya Nje
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Keanu Reeves kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |