Frederick Soddy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Frederick Soddy

Frederick Soddy (2 Septemba 187722 Septemba 1956) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza unururifu. Aliunda istilahi mpya ya isotopu. Mwaka wa 1921 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frederick Soddy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.