9 Januari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Des - Januari - Feb | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1522 - Uchaguzi wa Papa Adrian VI
- 1960 - Ujenzi wa Lambo la Aswan inaanza nchini Misri.
Waliozaliwa [hariri]
- 1554 - Papa Gregori XV
- 1624 - Meisho, mfalme mkuu wa kike wa Japani (1629-1643)
- 1902 - Josemaría Escrivá
- 1913 - Richard Nixon, Rais wa Marekani (1969-74)
- 1922 - Har Khorana, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1968
- 1925 - Lee van Cleef, mwigizaji filamu kutoka Marekani
Waliofariki [hariri]
- 1961 - Emily Balch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1946)
- 1998 - Kenichi Fukui, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1981