Papa Sixtus I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Sixtus I (au Xystus) alikuwa papa kuanzia takriban 117 hadi kifo chake takriban 126. Alimfuata Papa Alexander I. Sikukuu yake ni 6 Aprili.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Sixtus I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Sixtus I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
