Papa Alexander I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Alexander I alikuwa papa kuanzia takriban 106 hadi kifo chake takriban 116. Alimfuata Papa Evaristus.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Alexander I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Alexander I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
