Toscana
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Toscana ni moja kati ya majimbo 20 ya Italia. Iko katikati ya rasi ya Italia kaskazini ya Roma. Mji mkuu ni Firenze. Jumla ya wakazi ilikuwa 3,516,000 mwaka 2004. Eneo lake ni la 20,990 km².
Toscana huitwa jimbo zuri la Italia kwa sababu ya hali ya hewa, uzuri wa mabonde na milima na urithi wake wa kiutamaduni.
Yaliyomo |
Jiografia [hariri]
Toscana imepakana na majimbo ya Emilia-Romagna, Liguria, Tyrrhenia, Umbria, Marche na Lazio. Sehemu kubwa ni eneo la vilima-vilima. Kunda tambarare katika bonde la mto Arno.
Wilaya [hariri]
- Firenze ni mji mkuu au kwa Kiitalia "Capoluogo di regione"
- Arezzo
- Grosseto
- Livorno
- Lucca
- Massa-Carrara
- Pisa
- Pistoia
- Prato
- Siena
Tazama pia [hariri]
Viungo vya Nje [hariri]
- Official Site of Regions Tuscany (Italian site)
- (Kiitalia) Tuscany B & B
- (Kiitalia) Tuscany Farm Holidays
|
|
|
|---|---|
| Regione kawaida | |
| Abruzzo | Basilicata | Calabria | Campania | Emilia-Romagna | Lazio | Liguria | Lombardia | Marche | Molise | Piemonte | Puglia (Apulia) | Toscana | Umbria | Veneto | | |
| Regione na ya sasa pekee uhuru | |
| Friuli-Venezia Giulia | Sardinia | Sisilia | Trentino-Alto Adige | Valle d'Aosta | |