San Luis Potosí, San Luis Potosí

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu za Mji wa San Luis Potosí, San Luis Potosí



Jiji la San Luis Potosí
Nchi Mexiko
Jimbo San Luis Potosí
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 685,934
Tovuti:  www.ayuntamientoslp.gob.mx

San Luis Potosí (pia: SLP au San Luis) ndiyo mji mkuu na mji mkubwa katika jimbo la San Luis Potosí. Mji upo m 54 kutoka juu ya usawa wa bahari. Ni mji upande wa kati - magharibi ya jimbo.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 685,934 wanaoishi katika mji huu. Uneo lake ni 1443.14 km².

Jina la mji lilitolewa kwa heshima ya Mfalme Loius IX wa Ufaransa.

Mji ulianzishwa na Wafransisko mwaka 1592.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu San Luis Potosí, San Luis Potosí kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.