Robert Christgau
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robert Christgau akiwa mkutanoni mnamo 2006 huko mjini Seattle
Robert Christgau (amezaliwa tar. 18 Aprili, 1942) ni mwandishi wa habari za muziki kutoka nchini Marekani. Anajiita mwenyewe kama "Dean of American Rock Critics".[1]
[hariri] Marejeo
- ↑ Jody Rosen (September 5, 2006). The Village Voice fires a famous music critic. Slate. Accessed July 25, 2008.
[hariri] Viungo vya Nje
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Robert Christgau kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |