Allmusic

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Allmusic (zamani ilijulikana kama All Music Guide au AMG) ni database inayohusisha masuala ya muziki. Ilianzishwa na All Media Guide. All Music ilibuniwa mnamo 1991 na mkusanyaji wa habari za kitamaduni Bw. Michael Erlewine na mwanahisabati Vladimir Bogdanov, Ph.D., wakiwa kama viongozi wa watu walio na kusudio moja tu la kununua muziki. Mwaka uliofutia, wakachapisha kitabu pia, na tangu hapo wakawa wanafanya tena na tena.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Allmusic kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.