Wimbo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wimbo au nyimbo ni mpangilio wa sauti wenye kuleta maana/lengo linalokusudiwa,mara nyingi nyimbo huambatana na ala/vyombo vya muziki kama vile ngoma, marimba, zeze n.k,nyimbo hizi huweza kuwa za kikabila ambazo huimbwa kwa lugha za kabila husika,vilevile nyimbo huweza kuimbwa kwa lugha ya kiswahili,mfano; wimbo wa taifa, na nyimbo za rika la kati(bongofleva)n.k
| Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wimbo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |