Mafumbo (semi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mafumbo ni aina ya tungo fupi ambazo huwa na maelezo yanayoishia kwa swali[1]. Anayejibu atahitaji kufikiria ili kutoa jibu sahihi. Kinyume na vitendawili mafumbo huwa na majibu marefu.

Kwa mfano: "utaniona utanikuza ukipenda lakini huwezi nisikia amri yangu ni wakubwa na wadogo, matajiri na maskini. Mimi ni nani?"

Sifa za mafumbo[hariri | hariri chanzo]

  • Hukuza uwezo wa kufikiri.
  • Huimarisha umoja katika jamii.
  • Hutumika kama burudani.
  • Hujengwa katika mazingira au mifano ya vitu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mafumbo (semi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.