Ngano (hadithi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ngano ya Paka alindae bata

Kwa nafaka tazama makala ya ngano

Ngano ni hadithi fupi inayosimuliwa kwa kusudi ya burudani na pia mafundisho. Mara nyingi husimuliwa na wazazi au wazee kwa watoto. Kitaalamu hutazamiwa kuwa sehemu ya fasihi-simulizi ya jamii au utamaduni fulani.

Watendaji katika ngano si watu halisi bali wahusika wanaoeleza tabia maalumu. Mifano ni sungura, fisi, nyuki na wanyama wengine wanaowakilisha tabia kama vile busara, ujinga, ujanja, ulafi, uchoyo na mengine. Hata Riwaya za Abunuwasi zinaweza kuhesabiwa hum.

Masimulizi ya ngano huanza mara nyingi kwa maneno kama "Hapo zamani za kale ...".

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]