Bongo Flava

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kundi la Hip Hop Kutoka Kaskazini mwa Tanzania 'Arusha' ( Nako 2 Nako )

Bongo Flava ni muziki kutoka Tanzania. Bongo Flava sio staili moja ya muziki, ilamu ni mseto wa staili za muziki ambazo zimepewa umaarufu na ubunifu mkubwa kwa vijana nchini Tanzania, hasa katika jiji la Dar Es Salaam. Ni mchangayiko wa R&B, Rap, Hip Hop, na midundo ya asili, n.k. Muziki huu hujulikana pia kwa jina la Muziki wa Kizazi Kipya.

Viungo vya nje

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bongo Flava kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.