7 Desemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Nov - Desemba - Jan | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio[hariri]
- 1941 - Shambulio la Japani dhidi ya manowari za Marekani katika bandari ya Pearl Harbour (Hawaii)
Waliozaliwa[hariri]
- 1915 - Eli Wallach, mwigizaji kutoka Marekani
- 1966 - Lucía Etxebarria, mwandishi na mshairi kutoka Hispania
Waliofariki[hariri]
- 283 - Papa Eutychian
- 1254 - Papa Innocent IV
- 1906 - Elie Ducommun (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1902)
- 1947 - Nicholas Butler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1931)
- 1975 - Thornton Wilder (mwandishi Mmarekani)
- 1993 - Wolfgang Paul, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1989