Thornton Wilder
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thornton Niven Wilder (17 Aprili, 1897 – 7 Desemba, 1975) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Aliandika riwaya na tamthiliya. Anajulikana hasa kwa tamthiliya yake iitwayo kwa Kiingereza The Matchmaker. Ilitolewa mwaka wa 1954, na 1964 ilibadilishwa kuwa igizo la muziki chini ya jina Hello, Dolly!.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Thornton Wilder kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |