Ambrosi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Ambrosi alivyochorwa kwa nakshi za mawe katika kanisa lake huko Milano
Aureli Ambrosi (334/339 - 397), alikuwa askofu wa Milano kuanzia mwaka 374 hadi kifo chake.
Ndiye aliyemuongoa na kumbatiza Agostino wa Hippo
Anaheshimiwa kama mtakatifu, babu wa Kanisa na mwalimu wa Kanisa. Sikuku yake ni tarehe 7 Desemba kila mwaka.
Yaliyomo |
[hariri] Maandishi yake
[hariri] Ufafanuzi wa Biblia
- Hexameron
- De Paradiso
- De Cain et Abel
- De Noe
- De Abraham
- De Isaac et Anima
- De Bono Mortis
- De Fuga Saeculi
- De Jacob et Vita Beata
- De Joseph
- De Patriarchis
- De Helia e Jejunio
- De Nabuthae Historia
- De Tobia
- De Interpellatione Job et David
- De Apologia Profhetae David
- Ennarrationes in XII Psalmos Davidicos
- Expositio Psalmi CXVIII
- Esposizione Evangelii Lucae
- Expositio Isaiae Prophetae
[hariri] Kuhusu dogma
- De Fide ad Gratianum
- De Spiritu Sancto
- De Incarnationis Dominicae Sacramento
- Explanatio Symboli ad Initiandos
- Expositio Fidei
- De Mysteriis
- De Sacramentis
- De Poenitentia
- De Sacramento regenerationis vel de Philosophia
[hariri] Kuhusu maadili na maisha ya kiroho
- De Officiis Ministrorum
- De Virginibus
- De Viduis
- De Virginitate
- De Instituitione Virginis
- Exhortatio Virginitatis
[hariri] Mengineyo
- De obitu Theodosii
- Epistulae, hymni, etc.
[hariri] Viungo vya nje
- Barua za Mt. Ambrosi kwa Kiingereza
- Maandishi yake yote kutoka Patrologia Latina ya Migne pamoja na faharasa
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ambrosi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |