Tumaini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Maadili ya Kimungu |
|---|
|
|
Tumaini ni hali ya nafsi yenye matarajio mema kuhusu mambo yajayo.
Katika dini linatokana hasa na imani.
Ukristo, ukimfuata Mtume Paulo, unaliorodhesha pamoja na imani na upendo kati ya maadili yanayodumu.