Kitabu cha Hekima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kitabu cha Hekima au Hekima ya Solomoni ni cha mwisho kuandikwa (miaka 50 hivi K.K.) katika ya vitabu vyadeuterokanoni vya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo.

Hupangwa kati ya vitabu vya hekima, kichwa kinavyodokezwa.

Ingawa mwandishi anajidai kuwa mfalme Solomoni ili kutia maanani ujumbe wake, wataalamu wanasema lugha fasaha na mawazo vinaonyesha wazi asili yake katika mazingira ya Kigiriki ya Aleksandria (Misri).

Alikuwa Myahudi msomi katika dini, falsafa na maadili.

Kati ya michango yake upande wa teolojia kuna fundisho la kutokufa kwa roho, lakini pia utabiri juu ya mateso ya Yesu na umilele wa Hekima ya Mungu.

Kama vitabu vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.

Vitabu vya Agano la Kale

Mwanzo Kutoka Walawi Hesabu Kumbukumbu Yoshua Waamuzi Ruthu Samueli I Samueli II Wafalme I Wafalme II Mambo ya Nyakati I Mambo ya Nyakati II Ezra Nehemia TobitiDK YudithiDK Esta Wamakabayo IDK Wamakabayo IIDK Yobu Zaburi Methali Mhubiri Hekima DK SiraDK Wimbo Bora Isaya Yeremia Maombolezo BarukuDK Ezekieli Danieli Hosea Yoeli Amosi Obadia Yona Mika Nahumu Habakuki Sefania Hagai Zekaria Malaki - Alama ya DK inaonyesha vitabu vya deuterokanoni visivyopatikana katika matoleo yote ya Biblia.

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine