Filipo Neri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Filipo Neri katika mavazi ya ibada kama padri.

Filipo Neri (Firenze 22 Julai 1515 - Roma 27 Mei 1595), alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mwanzilishi wa shirika la Waoratori.

Alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mwenye heri tarehe 11 Mei 1615, halafu tarehe 12 Machi 1622 Papa Gregori XV alimtangaza mtakatifu.

Marejeo [hariri]

Viungo vya nje [hariri]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Filipo Neri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.