Wakfu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wakfu ni neno la mkopo kutoka lugha ya Kiarabu linalomaanisha hali ya kutengwa na matumizi mengine, hasa kwa ajili ya matumizi ya kidini tu.
Watu, vitu na mahali wanaweza kuwekwa wakfu kwa namna mbalimbali.
Katika Ukristo, watu wanaweza kuwekwa wakfu hasa kwa njia ya sakramenti zisizoweza kurudiwa kwa sababu zinatia alama isiyofutika milele (yaani ubatizo, na kwa madhehebu mengine pia kipaimara na daraja takatifu), lakini pia kwa kushika maisha ya pekee katika useja mtakatifu (kwa kawaida pamoja na ufukara na utiifu).
Vitu na mahali vinaweza kuwekwa wakfu hasa kwa ajili ya ibada, k.mf. vyombo vya ibada, mavazi ya ibada na kanisa.
Viungo vya nje [hariri]
- Consecration article in Catholic Encyclopedia
- Virginity article in Catholic Encyclopedia discussing Consecration of a Virgin
- Consecration of an Orthodox Church 6 pages of photos
- Photos of Consecration of Altar and Antimens
- The Sanctification of Holy Chrism